John 7:1

Kutokuamini Kwa Ndugu Zake Yesu

1 aBaada ya mambo haya, Yesu alikwenda sehemu mbalimbali za Galilaya. Hakutaka kwenda Uyahudi kwa sababu Wayahudi huko walitaka kumuua.
Copyright information for SwhNEN